Safari ya Siku 1 kwenda kutalii Mbuga ya Wanyamapori ya Makuyuni kutokea Moshi. Safari hii ni sehemu ya Tamasha kubwa la Maonesho ya Magari ya Zamani - Kilimanjaro Classic Car Show, linalofanyika kila mwaka mwezi Disemba katika Viwanja vya Mashujaa Mjini Moshi. Upekee wa Safari hii pamoja na kufunga mwaka pia kutakuwa na Nyama-Pori Choma ndani ya Hifadhi ya Makuyuni - Ni Vibe la Likizo Time
Date: 30 Dec 2025 - 30 Dec 2025
1. 12:00 Asubuhi: Kuondoka Moshi (Pickup)
2. 12:00 - 03:00 Asubuhi: Safari Kuelekea Makuyuni Wildlife Park kupitia Arusha (Breakfast)
3. 03:30 Asubuhi: Kuingia Hifadhini na kuanza Game Drive ya Asubuhi
4. 07:00 Mchana: Chakula cha Mchana (Bush Picnic Lunch)
5. 08:00 – 9:30 Alasiri: Game Drive ya Mchana
6. 10:00 Jioni: Kuondoka Makuyuni Wildlife Park
7. 1:30 Jioni: Kufika Moshi (Drop-off)