uk-flag EN

Eid Mubarak Ndani ya Hifadhi ya Taifa Tarangire

1 day
Pick-up Point: Shoppers (TFA) - Arusha

About the Safari

Eid hii ifanye tofauti, sherehekea na familia, ndugu, jamaa na marafiki kwa safari tulivu ya kitalii.

Badala ya shamrashamra za mjini, jizawadie safari ya kipekee Tarangire.
Furahia sikukuu hii ukiwa katikati ya makundi makubwa ya Tembo na Mibuyu ya kale—mazingira tulivu ya kumshukuru Mola kwa neema na baraka za uumbaji.
Ni chaguo bora kwa mapumziko ya familia baada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Geuza Eid hii kuwa kumbukumbu isiyofutika porini.

Karibu tufanye Eid yako ya 2026 kuwa ya kihistoria!

Date: 22 Mar 2026 - 22 Mar 2026

Eid Mubarak Ndani ya Hifadhi ya Taifa Tarangire

Package Inclusions

  • Usafiri wenye hadhi (4x4 Safari Cruiser au Coaster) pamoja na Dereva/Guide mwenye uzoefu
  • Malipo ya kuingia hifadhini (Park Entry Fees)
  • Game Drive ndani ya Hifadhi kwa muda wote wa siku
  • Chakula cha Mchana (Picnic Lunch) na Maji ya Kunywa
  • Tozo za Serikali na Kodi husika.

Package Exclusions

  • Vitu binafsi (kama vile vinywaji vya ziada pombe na ununuzi wa zawadi)
  • Bima ya Afya au Usafiri
  • Zawadi/Ada za Hiari (tips) kwa Dereva na Waongoza Wageni
  • Huduma zisizo kwenye mpangilio wa safari

Itinerary

01:00 Asubuhi: Kuondoka Arusha kuelekea Tarangire (Saa 2 hivi).

03:30 Asubuhi: Kuanza game drive kutazama tembo, simba, na mandhari nzuri ya hifadhi.

07:00 Mchana: Chakula cha Mchana kwenye eneo la picnic hifadhini.

08:00 Mchana: Kuendelea na mzunguko wa kutafuta wanyama mtoni.

04:00 Jioni: Kuanza safari ya kurudi Arusha.

12:30 Jioni: Kuwasili mjini Arusha.

Available Vehicle(s)

7-seater
🚐 7-seater
Toyota Land Cruiser LC 7SX
TZS 180,000 per person
Remaining Seats: 7 / 7
Book
29-seater
🚌 29-seater
Toyota Coaster
TZS 70,000 per person
Remaining Seats: 29 / 29
Book
Link copied to clipboard