Safari ya Siku Moja wakati wa Sikukuu ya Eid-El-Fitr, Jumapili Tarehe 22-Machi-2026
Safari itaanza mapema asubuhi kwa usafiri wa starehe, ikipitia mandhari ya kuvutia ya Nyanda za Juu za Karatu. Ndani ya kreta, utashuhudia wanyamapori wengi kwa karibu wakiwemo tembo, simba, nyati, vifaru na makundi makubwa ya swala, wote wakiishi katika mazingira ya asili yaliyohifadhiwa vizuri
Date: 22 Mar 2026 - 22 Mar 2026
Saa 12:00 asubuhi | Kuondoka Arusha
Saa 3:00 asubuhi | Kuingia Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro
Saa 4:00 asubuhi | Kushuka Ndani ya Kreta & Safari ya Wanyamapori
Saa 7:00 mchana | Chakula cha Mchana
Saa 8:00 mchana | Kuendelea na Safari
Saa 10:00 jioni | Kuondoka Ndani ya Kreta
Saa 1:00 usiku | Kuwasili Arusha