Ziara ya siku moja kwenda Makuyuni Wildlife Park Wikiendi ya kwanza ya Mwaka 2026 ni fursa adimu na rahisi sana. Zama kwenye asili ya pori la Afrika kwa safari hii yenye utulivu wa kipekee, tofauti na msongamano wa mbuga nyingine. Makuyuni Wildlife Park ni chaguo bora.
Date: 3 Jan 2026 - 3 Jan 2026
1:30 Asubuhi: Kuondoka Arusha (Pickup)
1:45 Asubuhi: Breakfast & Safari Kuelekea Makuyuni Wildlife Park
03:30 Asubuhi: Kuingia Hifadhini na kuanza Game Drive ya Asubuhi
07:00 Mchana: Chakula cha Mchana (Bush Picnic Lunch)
08:00 Mchana: Game Drive ya Mchana
10:00 Jioni: Kuondoka Makuyuni Wildlife Park
11:30 Jioni: Kufika Arusha (Drop-off)