Ziara ya siku moja kwenda Makuyuni Wildlife Park siku ya Boxing Day tarehe 26 Disemba 2025. Ni fursa adimu na rahisi sana ukiwa na Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki. Zama kwenye asili ya pori la Afrika kwa safari hii yenye utulivu wa kipekee, tofauti na msongamano wa mbuga nyingine. Makuyuni Wildlife Park ni chaguo bora.
Date: 26 Dec 2025 - 26 Dec 2025
1:30 Asubuhi: Kuondoka Arusha (Pickup)
1:45 Asubuhi: Breakfast safarini Kuelekea Makuyuni Wildlife Park
03:30 Asubuhi: Kuingia Hifadhini na kuanza Game Drive ya Asubuhi
07:00 Mchana: Chakula cha Mchana (Bush Picnic Lunch)
08:00 Mchana: Game Drive ya Mchana
10:00 Jioni: Kuondoka Makuyuni Wildlife Park
11:30 Jioni: Kufika Arusha (Drop-off)