Ziara ya siku moja kwenda Makuyuni Wildlife Park siku ya Sikukuu ya MWAKA MPYA 2026 ni fursa adimu na rahisi sana ya kuadhimisha siku hii maalum kwa kuzama kwenye asili ya pori la Afrika. Kwa kuwa Mwaka Mpya ni siku ya mapumziko, inarahisisha kupanga safari hii vizuri, na utulivu wake, tofauti na msongamano wa mbuga nyingine, unaiweka Makuyuni kuwa chaguo bora la kutumia siku ya kwanza ya Mwaka 2026.
Date: 1 Jan 2026 - 1 Jan 2026
1:30 Asubuhi: Kuondoka Arusha (Pickup)
1:45 Asubuhi: Breakfast safarini Kuelekea Makuyuni Wildlife Park
03:30 Asubuhi: Kuingia Hifadhini na kuanza Game Drive ya Asubuhi
07:00 Mchana: Chakula cha Mchana (Bush Picnic Lunch)
08:00 Mchana: Game Drive ya Mchana
10:00 Jioni: Kuondoka Makuyuni Wildlife Park
11:30 Jioni: Kufika Arusha (Drop-off)