Maalum kwa wasio-kimbia. Usafiri wa Uhakika (Coaster/Bus - kwenda-& kurudi) Kilimanjaro International Marathon (Kili-Marathon 2026) kutokea Arusha.
Usafiri huu utakuwa maalum kwa wale washiriki wasiokimbia, wale wanaokwenda kutazama na kusherehekea wakimbiaji.
Kuwa na uhakika wa kwenda na kurudi bila STRESS!
Gari litawasubiri Siku Nzima.
Date: 22 Mar 2026 - 22 Mar 2026
11:30 Alfajiri: Kuwasili Kituoni - Sheikh Amri Abeid Stadium
12:00 Asubuhi: Safari kuanza kuelekea Moshi
1:30 Asubuhi: Kuwasili Moshi, Chuo Kikuu Cha Ushirika
8:00 Mchana: Safari kuanza kurudi Arusha
10:00 Mchana: Kufika Arusha