Usafiri Maalum na wa Uhakika (Coaster/Bus - kwenda-& kurudi) Kilimanjaro International Marathon (Kili-Marathon 2026) kutokea Arusha.
Tatizo la Usafari wa uhakika kwenda Kili-Marathon na kurudi sasa limepatiwa ufumbuzi wa kudumu.
Lipia SITI Yako Tu
Gari litakupeleka mapema na kukusubiri baada ya mbio.
Ondokana na STRESS na Usumbufu wa usafiri.
RELAX tukupeleke.
Date: 22 Mar 2026 - 22 Mar 2026
10:00 Alfajiri: Kuwasili Kituoni - Sheikh Amri Abeid Stadium
10:20 Alfajiri: Safari kuanza kuelekea Moshi
11:45 Alfajiri: Kuwasili Moshi, Chuo Kikuu Cha Ushirika
7:00 Mchana: Safari kuanza kurudi Arusha
9:00 Alasiri: Kufika Arusha