Gari la Kwanza. Usafiri Maalum na wa Uhakika (Coaster/Bus - kwenda-& kurudi) Kilimanjaro International Marathon (Kili-Marathon 2026) kutokea Arusha.
Tatizo la Usafari wa uhakika kwenda Kili-Marathon na kurudi sasa limepatiwa ufumbuzi wa kudumu.
Lipia SITI Yako Tu
Gari litakupeleka mapema na kukusubiri baada ya mbio.
Ondokana na STRESS na Usumbufu wa usafiri.
RELAX tukupeleke.
Date: 22 Mar 2026 - 22 Mar 2026
09:00 Usiku: Safari kuanza kuelekea Moshi
10:50 Alfajiri: Kuwasili Moshi, Chuo Kikuu Cha Ushirika
6:30 Mchana: Safari kuanza kurudi Arusha
8:45 Mchana: Kufika Arusha