uk-flag EN

Mega FM Tour Bus - Arusha Auto Show 2026

1 day
Pick-up Point: Shoppers (TFA) - Arusha

About the Safari

Safiri na Timu ya MEGA FM katika Safari Hii Maalum ya Pamoja kuelekea MAKUYUNI WILDLIFE PARK baada ya Arusha Auto Show.

Fanya Utalii wa Ndani ukiwa katika Basi la pamoja na Watangazaji na Timu nzima ya Mega FM 92.9 The No.1 Hit Station, kuelekea Makuyuni Wildlife Park kama sehemu ya "After-Party" ya Arusha Auto Show 2026.

Date: 13 Sep 2026 - 13 Sep 2026

Mega FM Tour Bus - Arusha Auto Show 2026

Package Inclusions

  • Usafiri wenye hadhi (Safari Coaster) pamoja na Dereva/Guide mwenye uzoefu
  • Malipo ya kuingia hifadhini (Park Entry Fees)
  • Game Drive ndani ya Hifadhi kwa muda wote wa siku
  • Chakula cha Mchana (Picnic Lunch) na Maji ya Kunywa
  • Nyamachoma Pori
  • Tozo za Serikali na Kodi husika

Package Exclusions

  • Vitu binafsi (kama vile vinywaji vya ziada
  • vilevi na ununuzi wa zawadi)
  • Bima ya Afya au Usafiri
  • Zawadi/Ada za Hiari (tips) kwa Dereva na Waongoza Wageni
  • Huduma zisizo kwenye mpangilio wa safari

Itinerary

Saa 1:00 Asubuhi – Kukutana eneo la kuondokea.

Saa 1:30 Asubuhi – Kuondoka kuelekea Makuyuni Wildlife Park.

Saa 2:30 Asubuhi – Kuwasili hifadhini, mapokezi na maelekezo ya usalama.

Saa 3:00 Asubuhi – Saa 5:30 Asubuhi – Safari ya kutazama wanyamapori (Game Drive), ikiwa ni pamoja na Choroa (Oryx), Twiga, Pundamilia, Swala mbalimbali, Nyumbu na aina nyingi za ndege wa porini.

Saa 5:30 Asubuhi – Saa 6:00 Mchana – Muda wa kupiga picha na kupumzika katika maeneo maalum yenye mandhari nzuri.

Saa 6:00 Mchana – Saa 8:00 Alasiri – Chakula cha mchana na Game Meat BBQ Experience (Nyamachoma Pori); fursa ya kipekee ya kuonja nyama mbalimbali za porini huku mkifurahia muziki, mazungumzo na washiriki wa Arusha Auto Show.

Saa 8:00 Alasiri – Saa 9:00 Alasiri – Burudani, picha za pamoja na muda wa mapumziko.

Saa 9:00 Alasiri – Kuanza safari ya kurejea Arusha.

Saa 10:00 Jioni – Kuwasili Arusha na kuhitimisha safari.

Available Vehicle(s)

29-seater
🚌 29-seater
Toyota Coaster
TZS 69,000 per person
Remaining Seats: 29 / 29
Book
Link copied to clipboard