uk-flag EN

Ngorongoro Crater Jumatatu Ya PASAKA

1 day
Pick-up Point: Shoppers (TFA) - Arusha

About the Safari

Siku bora ya kutembelea Kreta ya Ngorongoro ukiwa na Ndugu, Jamaa, Marafiki na Familia.

Ni 'experience' ya kipekee inayokupa fursa ya kushuhudia moja ya maajabu ya asili duniani.

Date: 6 Apr 2026 - 6 Apr 2026

Ngorongoro Crater Jumatatu Ya PASAKA

Package Inclusions

  • Usafiri wenye hadhi (4x4 Safari Cruiser) pamoja na Dereva/Guide mwenye uzoefu
  • Malipo ya kuingia hifadhini (Park Entry Fees)
  • Game Drive na Matembezi kwa Miguu ndani ya Hifadhi kwa muda wote wa siku
  • Chakula cha Mchana (Picnic Lunch) na Maji ya Kunywa
  • Tozo za Serikali na Kodi husika.

Package Exclusions

  • Vitu binafsi (kama vile vinywaji vya ziada pombe na ununuzi wa zawadi)
  • Bima ya Afya au Usafiri
  • Zawadi/Ada za Hiari (tips) kwa Dereva na Waongoza Wageni
  • Huduma zisizo kwenye mpangilio wa safari

Itinerary

Saa 12:00 asubuhi | Kuondoka Arusha

Saa 3:00 asubuhi | Kuingia Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro

Saa 4:00 asubuhi | Kushuka Ndani ya Kreta & Safari ya Wanyamapori

Saa 7:00 mchana | Chakula cha Mchana

Saa 8:00 mchana | Kuendelea na Safari

Saa 10:00 jioni | Kuondoka Ndani ya Kreta

Saa 1:00 usiku | Kuwasili Arusha

Available Vehicle(s)

7-seater
🚐 7-seater
Toyota Land Cruiser LC 7SX
TZS 260,000 per person
Remaining Seats: 7 / 7
Book
Link copied to clipboard