uk-flag EN

TAHLISO WASOMI TOUR 2026 ARUSHA (without accommodation)

2 days • 1 night
Pick-up Point: Vyuoni - Arusha

About the Safari

Safari Maalum ya Siku 2 kwenda Hifadhi ya Taifa Tarangire & Maporomoko ya Maji Napuru (Napuru Waterfalls) - Msitu wa Meru.

Inahusisha; TAHLISO Excom, Viongozi Wote wa Serikali za Wanafunzi kutoka Vyuo & Vyuo Vikuu na Wanafunzi Wote.

NB: Safari hii (Tshs. 75,000/-) ni kwaajili ya wale wasiohitaji kuandaliwa malazi wakiwa Arusha (no-accommodation)

Date: 28 Mar 2026 - 29 Mar 2026

TAHLISO WASOMI TOUR 2026 ARUSHA (without accommodation)

Package Inclusions

  • Usafiri wenye hadhi (Safari Coaster)
  • Dereva/Guide mwenye uzoefu
  • Malipo ya kuingia hifadhini (Park Entry Fees)
  • Game Drive ndani ya Hifadhi
  • Utalii wa Utamaduni (Cultural Tourism - Maasai Boma Visit)
  • Utalii wa Matembezi (Napuru Nature Trail Hiking)
  • Tozo za Serikali na Kodi husika
  • Chakula cha Mchana (Picnic Lunch & Bites) na Maji ya Kunywa
  • Huduma ya Picha za Safari.

Package Exclusions

  • Malazi (ukiwa Arusha)
  • Vitu binafsi (kama vile vinywaji vya ziada pombe na ununuzi wa zawadi)
  • Bima ya Afya au Usafiri
  • Zawadi/Ada za Hiari (tips) kwa Dereva na Waongoza Wageni
  • Huduma zisizo kwenye mpangilio wa safari

Itinerary

SIKU 1: ARUSHA - TARANGIRE - ARUSHA

Saa 12:30 – Saa 1:00 Asubuhi

Kuwachukua kutoka Vyuoni

Saa 1:00 – Saa 3:30 Asubuhi

Safari kuelekea Tarangire National Park

Saa 3:30 – Saa 7:00 Mchana

Game drive ndani ya hifadhi

Saa 7:00 – Saa 8:00 Mchana

Lunch (picnic site)

Saa 8:00 – Saa 10:00 Alasiri

Game drive ya mchana na kutembelea Maasai Boma (Cultural Tourism)

Saa 10:00 – Saa 12:30 Jioni

Safari ya kurudi Arusha

Saa 12:30 Jioni

Kuwashusha Hotelini

___________________________________________

SIKU 2: ARUSHA - NAPURU WATERFALLS - ARUSHA

Saa 2:00 – Saa 2:30 Asubuhi

Kuwachukua kutoka hotelini Arusha

Saa 2:30 – Saa 3:00 Asubuhi

Safari kuelekea Napuru Waterfalls, Msitu wa Meru

Saa 3:00 – Saa 6:30 Mchana

Nature walk Msituni kuelekea Maporomoko ya Maji

Saa 6:30 – Saa 7:30 Mchana

Lunch

Saa 7:30 – Saa 9:00 Alasiri

Relax & kuendelea kufurahia mazingira - Meru Eco Camp

Saa 9:00 – Saa 9:30 Alasiri

Safari ya kurudi Arusha

Saa 9:30 – Saa 10:00 Jioni

Drop off hotelini

Available Vehicle(s)

29-seater
🚌 29-seater
TAHLISO 1
TZS 75,000 per person
Remaining Seats: 29 / 29
Book
Link copied to clipboard